Habari, hiyo kitu inawezekana. mimi naangalia live tv tena channel nyingi sana including Al jazeera,cnn,bbc,aljazeera sports,espn and many more.
Natumia iphone 4, hizo apps most of them ni free na some zinauzwa kwenye apps store lakini still its not a problem una jailbreak halafu una add instalous kupitia cydia humo everything is free ni net yako tu lazima iwe 3g or wifi. for cheap internet package nashauri uchukue ya airtel which is 2500Tsh for 400mb. with that package you will really enjoy the tv channels.