live tv kwa simu HELP

live tv kwa simu HELP

Baiskeli

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2010
Posts
336
Reaction score
61
nahitaji elimu ya kuangalia matangazo ya tv kwenye mobile yangu. nifanye nn wakuu? nimeona kwa jamaa ana-watch live aljazeera kwa simu yake ya nokia ya kawaida tu. tupeane huo utaaramu.
 
mkuu huitaji elimu wachina wameraisisha maisha sana tena sana wametoa cm zenye tv unapata chanel zote bila chenga ili mradi uinue antena yako vzuri na uwe kwnye location nzuri yani ukizoea ata tv ununui om na sauti yake ucpime kwa wenye uzoefu nazo wanajua kuhusu hyo nokia uenda alikuwa anatumia net unaangali aljazeera vizuri tu pia nasikia dstv wanaanzisha hyo kitu ukiwa umelipia utaweza kutumia mpaka kwenye cm hiyo hiyo ya om
 
sema unatumia cm gan cuz watu wanapost link za android na iOS!
 
Habari, hiyo kitu inawezekana. mimi naangalia live tv tena channel nyingi sana including Al jazeera,cnn,bbc,aljazeera sports,espn and many more.
Natumia iphone 4, hizo apps most of them ni free na some zinauzwa kwenye apps store lakini still its not a problem una jailbreak halafu una add instalous kupitia cydia humo everything is free ni net yako tu lazima iwe 3g or wifi. for cheap internet package nashauri uchukue ya airtel which is 2500Tsh for 400mb. with that package you will really enjoy the tv channels.
 
Back
Top Bottom