ndugu yangu soka hautolijua ukiweka upenzi mbele kuliko hali halisi,ngoja niishie hapa,maana mimi napenda uongee ukweli ndio mana nakuletea sana rekodi ndugu yangu,sipendi ushabiki kuuweka mbele,mimi man utd,kiukweli england timu inaweza kubishana na man utd ni liverpool,sio chelsea ni angalau hata arsenal kidogo,chelsea ni = na timu kama moro united,inajaribu kupata mafanikio sasa,nikisema nilete ushabiki ntasifia man utd,lakini naongea kiukweli barca wanastahili sifa zao kwa sasa,chelsea nyie bado,labda saizi yenu kidogo everton