Live: Uefa Champions League draw

Duh chuki nyingine, watu wanazungumzia kuhusu Diego Milito kutokuiwemo kwenye World Cup aka WoZa 2010. Umechanganya mambo.

Ukiona hivyo ujue kuwa jamaa alitaka kuanzisha thread akapotea step!!!
 
Sorry mkuu UCL haina 3rd place!!!
 
:becky::becky::becky: uzuri wangu uwa nakubali,tatizo nyie wafurukutwa wa chelsea ndio hampendi kukubali teh teh teh ila umenifurahisha sana kweli mimi white :becky:

Huo weupe maana yake mtupu kichwani kwenye masuala ya soka! 🙂
 
Huo weupe maana yake mtupu kichwani kwenye masuala ya soka! 🙂
ndugu yangu soka hautolijua ukiweka upenzi mbele kuliko hali halisi,ngoja niishie hapa,maana mimi napenda uongee ukweli ndio mana nakuletea sana rekodi ndugu yangu,sipendi ushabiki kuuweka mbele,mimi man utd,kiukweli england timu inaweza kubishana na man utd ni liverpool,sio chelsea ni angalau hata arsenal kidogo,chelsea ni = na timu kama moro united,inajaribu kupata mafanikio sasa,nikisema nilete ushabiki ntasifia man utd,lakini naongea kiukweli barca wanastahili sifa zao kwa sasa,chelsea nyie bado,labda saizi yenu kidogo everton
 
Hahahah gutierez umeniacha hoi eti Chelsea sawa na Moro United.
 

Huna rekodi zaidi ya kushinda vijiwe vya kahawa! Jifunze kuandika wewe dogo
 
Mhh vyetu mhhhh ligi inaanza ndio uwanja tunaufunga kwa matengenezo hiii kweli inaingia kumkichwa?
 
Huna rekodi zaidi ya kushinda vijiwe vya kahawa! Jifunze kuandika wewe dogo
mimi nakuambia kipindi hiki cha utandawazi kimewainua wengi,mana hata nikikuambia timu ye2 ya nakapanya Iwuanyanwu Nationale sasa hivi utaigoogle na utanitajia hadi jina la mfua jezi wetu na kunipinga nikichapia jina lake,na hata kusema tumebadili jina siku hizi,mwenzio toka enzi za Nyerere,tunashukuru tulikuwa hatukosi mfanyakazi jean pierre papin na george weah enzi hizo miaka ya mwanzoni 90 wakiwa monaco,abedi pele na basile boli wakiwa marseille,wanamfunga ac milan ktk fainali ya champions league 1993 1-0 kipa wao marseille ni fabian barthez
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…