The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
Dakika ya 26 hadi sasa na Sevilla wanaongoza 1.Update basi
Asante sanaDakika ya 26 hadi sasa na Sevilla wanaongoza 1.
Goli limefungwa na Ocampos dk ya 13 kwa mkwaju wa penat
Mategemeo ya kuchukua bado wanayo Bayern, wamepigana wamerudsha goli, naamini mwalimu kipindi cha pili atakua amekuja na mbinu mpya zaidi na huenda kukawa na mvuaAsante sana
Pamoja na penalt hiyo, bado nafasi ya ushindi nawapa bayern
Kama wamerudisha basi kuna uhakika wa kuingeza mengine mawiliMategemeo ya kuchukua bado wanayo Bayern, wamepigana wamerudsha goli, naamini mwalimu kipindi cha pili atakua amekuja na mbinu mpya zaidi na huenda kukawa na mvua
Itakua..hii siyo futuhiHivi hii game inaonyeshwa na DSTV?