Live Uefa Super Cup: Bayern Munchen Vs Sevilla Fc

Live Uefa Super Cup: Bayern Munchen Vs Sevilla Fc

The Humble Dreamer

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2015
Posts
7,574
Reaction score
10,598
Wakuu Salaam;

Leo inapigwa mechi kati ya Fc Bayern ambaye ni bingwa wa UEFA na Sevilla Fc ambaye ni bingwa Uefa Europa league katika kutafuta bingwa wa Uefa Super Cup.

Mechi hii inapigwa katika dimba la Puskás Aréna, Budapest, Hungary.

Kila timu imetoa orodha ya wachezaji watakaohusika katika mechi kama ifuatavyo;
IMG_20200924_213751_489.JPG


Hivyo, tupeane updates zote zinazohusiana na mechi hii kutoka kwa wanaoangalia au kufatilia na pia kama una link kwa wale wa online unaweza share hapa.

Unaweza weka ubashiri wako pia.

Mechi inaanza saa 4:00pm usiku kwa majira ya Afrika Mashariki.
 
Asante sana

Pamoja na penalt hiyo, bado nafasi ya ushindi nawapa bayern
Mategemeo ya kuchukua bado wanayo Bayern, wamepigana wamerudsha goli, naamini mwalimu kipindi cha pili atakua amekuja na mbinu mpya zaidi na huenda kukawa na mvua
 
Dakika 90 zimeisha, siyo Bayern wala sevilla aliyeibuka mshindi..sasa ni muda wa nyongeza.
 
Bayernmunich again duuuu hawa jamaa hawana dogo Jana walikutana na ushindani wa kweli maana silaha zote ziliingizwa
 
Back
Top Bottom