Live update: Horoya AC vs Simba Sc

Live update: Horoya AC vs Simba Sc

XII Tz

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2020
Posts
4,345
Reaction score
7,076
Ni ule wakati uliokuwa ukisubiriwa na wengi Tanzania na Afrika kwa ujumla, ni Simba vs Horoya AC, Caf champions league hatua ya group stage.

Mchezo unatarajiwa kupigwa majira ya saa 10:00 jioni kwa saa za guinea na saa 1:00 jioni kwa saa za Afrika mashariki.

Je ni Horoya au wageni Simba watakao ibuka na ushindi kwenye mchezo huu wa leo, ungana nasi kwenye Uzi huu kwa live update zote za mchezo.
 
Mods futeni huu Uzi, sikuwa nimeona kama kuna mtu tayari ameanzisha Uzi wa update..
 
Back
Top Bottom