severinembena
JF-Expert Member
- Jun 2, 2018
- 2,435
- 2,402
Walichochemka Simba ni kutompanga mshambuliaji hatari kabisa Kagere,wangempanga wasingetoka 0-0. Next time hawatarudia kumuweka benchi huyo mshambuliaji hatari.
Hapana.Alìkuwepo ila hakuwa kwenye kiwango wakamtoa akaingia salamba kijana mwenye stress ya kutaka kufunga ili aprove ubora wake kwa timu anabaki kujiongelesha mwenyewe uwanjañ
Poleni sana wana Msimbazi na badooSimba wanacheza mpira wa taratibu sana, wanacheza kama wameshashinda.
Dakika za mwisho ndio wanataka waanze kucheza mpira wa kushambulia kwa kasi.
Kasi inabidi ianze dakika ya kwanza.
Watu tumesafiri hadi Mtwara halafu tunashuhudia wachezaji wanacheza kama wapo kwenye mazoezi vile.
Hii ni Aibu kwa wachezaji na kocha wao.
Masudi anaogopesha makocha wanaokuja Simba kwa uwezo wake mkubwaHalafu anajidai kumwacha Masudi Juma.
Wakati hajui hata kufanya Sub za maana kwa wakati.
Masudi angemsaidia sana kumpa ushauri timu inapo zembeazembea.
Nendeni Fifa mkalalamike kuwa Tff wameshindwa kuwabebaHuu ni umburura, yaani Simba tunacheza ka ligi ni yetu? Hebu tuige spirit ya Vijana wa Pep Guadiola, sio tunaishia kuwa na majina makubwa yasiyo na faida golini. I wish Simba kwa jina na wachezaji tulonao tupige mtu kuanzia 4. Huu mpira wa kuvizia vizia tutaishia kuaibika mbeleni. Mpira kwa kushinda nyumbani tena bao 1 na kuvurunda ugenini utatutoa kamasi jamani....!!
Nikajua Ndanda tunawaogesha 6, kumbe kocha wao jana alitabiri vyema kuwa tumevimbewa na majina....!!!
Asante,Poleni sana wana Msimbazi na badoo
Mnawatisha sana TFF hadi wanawapangia mechi 12+1 = 13 mcheze nyumbani, nimeanza kuhesabu tokea mechi yenu ya kwanza na Mtibwa Sugar.Nendeni Fifa mkalalamike kuwa Tff wameshindwa kuwabeba
Mbona mmeanza kuwashwawashwa tena nyie Mikia?Mnawatisha sana TFF hadi wanawapangia mechi 12+1 = 13 mcheze nyumbani, nimeanza kuhesabu tokea mechi yenu ya kwanza na Mtibwa Sugar.
(Hii haijawahi kutokea tokea hapa duniani tokea mchezo wa mpira wa miguu uanzishwe)
Hapo bila shaka pointi zote
3 x 13 - 3 = 33 mtazikusanyia hapa hapa Taifa ukiondoa pointi tatu (3), mtakazo nyang'aywa kwa nguvu na timu ya Simba.
Hongeleni kwa kuandaliwa point 33 nyumbani na TFF.
Nilikuwa natania tu BrazaMbona
Mbona mmeanza kuwashwawashwa tena nyie Mikia?
Tumsubiri Leo Kinshasa MakamboKagere mechi ya jna aliziba macho yote mawili.
Asanteeee sana. Endeleeni kumsikiliza Manara tuu mwisho wa siku mtakufa kwa depressionMnawatisha sana TFF hadi wanawapangia mechi 12+1 = 13 mcheze nyumbani, nimeanza kuhesabu tokea mechi yenu ya kwanza na Mtibwa Sugar.
(Hii haijawahi kutokea tokea hapa duniani tokea mchezo wa mpira wa miguu uanzishwe)
Hapo bila shaka pointi zote
3 x 13 - 3 = 33 mtazikusanyia hapa hapa Taifa ukiondoa pointi tatu (3), mtakazo nyang'aywa kwa nguvu na timu ya Simba.
Hongeleni kwa kuandaliwa point 33 nyumbani na TFF.
Lazima atupieTumsubiri Leo Kinshasa Makambo
Leo Makambo akitupia itakuwa ndio habari ya mujini.Lazima atupie
Kwa mpra dunia ya leo kucheza nyumbani hakuthibitishi kushinda ndiyo maana, madai ya makocha wa ulaya ni kufuta gori la ugenini... kwenye mashindano ya UEFA sababu waliyoitoa ni kwamba kufunga magoli ugenini sio kazi rahisiMnawatisha sana TFF hadi wanawapangia mechi 12+1 = 13 mcheze nyumbani, nimeanza kuhesabu tokea mechi yenu ya kwanza na Mtibwa Sugar.
(Hii haijawahi kutokea tokea hapa duniani tokea mchezo wa mpira wa miguu uanzishwe)
Hapo bila shaka pointi zote
3 x 13 - 3 = 33 mtazikusanyia hapa hapa Taifa ukiondoa pointi tatu (3), mtakazo nyang'aywa kwa nguvu na timu ya Simba.
Hongeleni kwa kuandaliwa point 33 nyumbani na TFF.
Ha ha ha jamaa unamfikiria Makambo tuLeo Makambo akitupia itakuwa ndio habari ya mujini.
Bora afunge mchezaji mwingine yeyote.
Tutashindwa kukaa mtaani na kunywa vinywaji baridi.
Li makambo ni Li viziaji tu, halina mpira wowote.
Ama kweli kauli ya Aden Rage bado kazi kuwa "viongozi wa simba na mashabiki wao ni mambumbumbu...!! Hizo kwenye hizo mechi tuambie yanga mwenyeji mechi ngapi na mgeni mechi ngapi..??? Na katika hizo timu ngapi kati yake zinatumia uwanja wa taifa kama uwanja wa nyubani..???au zitafutie viwanja vingine timu kama African lyon, kmc na jkt zilizoomba kutumia uwanja Dar. Ukiambiwa kitu na manara tumia na akili zako co kukurupuka tuu...!! mbayuwayuMnawatisha sana TFF hadi wanawapangia mechi 12+1 = 13 mcheze nyumbani, nimeanza kuhesabu tokea mechi yenu ya kwanza na Mtibwa Sugar.