LIVE UPDATE TPL 15/9/2018

LIVE UPDATE TPL 15/9/2018

Jeshi la mtu mmoja limerudi jagwani, na fitna zootee za football la Tz linazijua, mkinunua kwa mil10 mechi hiyo hiyo yeye ana double kwa droo au tripple kwa nyie kufungwa, dogo mo fitina hizi haziwezi, msimu huu kazi kwenu mikia
 
Alìkuwepo ila hakuwa kwenye kiwango wakamtoa akaingia salamba kijana mwenye stress ya kutaka kufunga ili aprove ubora wake kwa timu anabaki kujiongelesha mwenyewe uwanjañ
Walichochemka Simba ni kutompanga mshambuliaji hatari kabisa Kagere,wangempanga wasingetoka 0-0. Next time hawatarudia kumuweka benchi huyo mshambuliaji hatari.
 
samahanini wakuu naombeni link yakujiunga na group la mashabiki wa simba na yanga WhatsApp.
 
Alìkuwepo ila hakuwa kwenye kiwango wakamtoa akaingia salamba kijana mwenye stress ya kutaka kufunga ili aprove ubora wake kwa timu anabaki kujiongelesha mwenyewe uwanjañ
Hapana.
Salamba anaonekana kabisa anapigana uwanjani kwa nguvu zake zote, hii morale ndiyo inayotakiwa kwa mchezaji uwanjani.
Mchezaji lazima awe mpiganaji fighter uwanjani na sio wa kuridhika na hali ya kawaida na kujiamini.
Mwangalie Hassan Dilunga, Shabalala, Kapombe, Kichuya japo hajifunzi kutumia mguu wa kulia inapobidi, MO Ibra, Asante Kwasi, Wawa, hawa ni baadhi ya wachezaji wanaojituma muda wote, kwa kupush mipira mbele kwa kasi.
Mkude ameanza kupooza mipira kwa kutoa pasi nyingi nyuma badala ya kupush mipira mbele.
Nyoni naye hivyohivyo anachelewesha sana mipira nyuma kuna siku alijisahau wakampora mpia wakafunga goli rahisi kabisa.
Kikosi cha kasi ni hiki hapa
1. Manula
2. Kapombe
3. Shabalala
4. Asante kwasi
5. Paskali wawa
6. Kotei
7. Kichuya.
8. Dilunga
9. Kagere
19. Salamba.
11. Okwi

Substitute
1. Golikipa (wote wazuri)
2. Mo Ibrahim
3. Mkude
4. Nyoni
5. Chama
6. Mo Juma
7. Gyani
8. Bocco

Hapo kila mechi magoli ni lazima yapatikane.
Mkude ajifunze kupeleka mashambulizi mbele.
Kichuya ajirekebishe sana kwa kujifunza kutumia mguu wa kulia anapobidi, akiletewa mpira kulia anahangaika tu na kuupoteza, kuna goli la wazi kabisa na Prisoni alilikosa.
Nawasilisha
 
Simba wanacheza mpira wa taratibu sana, wanacheza kama wameshashinda.
Dakika za mwisho ndio wanataka waanze kucheza mpira wa kushambulia kwa kasi.
Kasi inabidi ianze dakika ya kwanza.
Watu tumesafiri hadi Mtwara halafu tunashuhudia wachezaji wanacheza kama wapo kwenye mazoezi vile.
Hii ni Aibu kwa wachezaji na kocha wao.
Poleni sana wana Msimbazi na badoo
 
Huu ni umburura, yaani Simba tunacheza ka ligi ni yetu? Hebu tuige spirit ya Vijana wa Pep Guadiola, sio tunaishia kuwa na majina makubwa yasiyo na faida golini. I wish Simba kwa jina na wachezaji tulonao tupige mtu kuanzia 4. Huu mpira wa kuvizia vizia tutaishia kuaibika mbeleni. Mpira kwa kushinda nyumbani tena bao 1 na kuvurunda ugenini utatutoa kamasi jamani....!!

Nikajua Ndanda tunawaogesha 6, kumbe kocha wao jana alitabiri vyema kuwa tumevimbewa na majina....!!!
Nendeni Fifa mkalalamike kuwa Tff wameshindwa kuwabeba
 
Poleni sana wana Msimbazi na badoo
Asante,
Sipotezi tena nauli yangu kwenda mkoani au kuingia uwanjani hadi wachezaji wa Simba watakapo jitambua na kuanza kucheza kwa kujituma kwa bidii.
Wachezaji wa Yanga fc wanajituma sana ndio maana wanapata matokeo mazuri uwanjani.
Angali mechi ya Yanga vs Mtibwa, Yanga walishinda kwa kucheza kwa nguvu na kasi iliyowashinda Mtibwa.
Walishambulia kuanzia sekunde ya kwanza hadi ya mwisho na wakatoka na matokeo. Hata leo Yanga watashinda kwakuwa wanajituma sana.
Baadhi ya wachezaji wa Simba wanacheza ki ustaa sana, wanafikiri wapo uwanjani kumiliki mpira tu badala ya kupigana ili kufunga.
Hii ni hasara kwa MO.
 
Nendeni Fifa mkalalamike kuwa Tff wameshindwa kuwabeba
Mnawatisha sana TFF hadi wanawapangia mechi 12+1 = 13 mcheze nyumbani, nimeanza kuhesabu tokea mechi yenu ya kwanza na Mtibwa Sugar.
(Hii haijawahi kutokea tokea hapa duniani tokea mchezo wa mpira wa miguu uanzishwe)
Hapo bila shaka pointi zote
3 x 13 - 3 = 33 mtazikusanyia hapa hapa Taifa ukiondoa pointi tatu (3), mtakazo nyang'aywa kwa nguvu na timu ya Simba.
Hongeleni kwa kuandaliwa point 33 nyumbani na TFF.
 
Mbona

Mbona mmeanza kuwashwawashwa tena nyie Mikia?
 
Mnawatisha sana TFF hadi wanawapangia mechi 12+1 = 13 mcheze nyumbani, nimeanza kuhesabu tokea mechi yenu ya kwanza na Mtibwa Sugar.
(Hii haijawahi kutokea tokea hapa duniani tokea mchezo wa mpira wa miguu uanzishwe)
Hapo bila shaka pointi zote
3 x 13 - 3 = 33 mtazikusanyia hapa hapa Taifa ukiondoa pointi tatu (3), mtakazo nyang'aywa kwa nguvu na timu ya Simba.
Hongeleni kwa kuandaliwa point 33 nyumbani na TFF.
Asanteeee sana. Endeleeni kumsikiliza Manara tuu mwisho wa siku mtakufa kwa depression
 
Mnawatisha sana TFF hadi wanawapangia mechi 12+1 = 13 mcheze nyumbani, nimeanza kuhesabu tokea mechi yenu ya kwanza na Mtibwa Sugar.
(Hii haijawahi kutokea tokea hapa duniani tokea mchezo wa mpira wa miguu uanzishwe)
Hapo bila shaka pointi zote
3 x 13 - 3 = 33 mtazikusanyia hapa hapa Taifa ukiondoa pointi tatu (3), mtakazo nyang'aywa kwa nguvu na timu ya Simba.
Hongeleni kwa kuandaliwa point 33 nyumbani na TFF.
Kwa mpra dunia ya leo kucheza nyumbani hakuthibitishi kushinda ndiyo maana, madai ya makocha wa ulaya ni kufuta gori la ugenini... kwenye mashindano ya UEFA sababu waliyoitoa ni kwamba kufunga magoli ugenini sio kazi rahisi
 
Mnawatisha sana TFF hadi wanawapangia mechi 12+1 = 13 mcheze nyumbani, nimeanza kuhesabu tokea mechi yenu ya kwanza na Mtibwa Sugar.
(Hii haijawahi kutokea tokea hapa duniani tokea mchezo wa mpira wa miguu uanzishwe)
Hapo bila shaka pointi zote
3 x 13 - 3 = 33 mtazikusanyia hapa hapa Taifa ukiondoa pointi tatu (3), mtakazo nyang'aywa kwa nguvu na timu ya Simba.
Hongeleni kwa kuandaliwa point 33 nyumbani na TFF.
Ama kweli kauli ya Aden Rage bado kazi kuwa "viongozi wa simba na mashabiki wao ni mambumbumbu...!! Hizo kwenye hizo mechi tuambie yanga mwenyeji mechi ngapi na mgeni mechi ngapi..??? Na katika hizo timu ngapi kati yake zinatumia uwanja wa taifa kama uwanja wa nyubani..???au zitafutie viwanja vingine timu kama African lyon, kmc na jkt zilizoomba kutumia uwanja Dar. Ukiambiwa kitu na manara tumia na akili zako co kukurupuka tuu...!! mbayuwayu
 
Back
Top Bottom