LIVE UPDATE TPL 15/9/2018

LIVE UPDATE TPL 15/9/2018

Ungeingia uwanjani tu.. hata kuharibu game ni njia nzuri tu...
Yaani ni bora kama tungetoka suluhu huku mpira ukichezwa wa kuvutia.
Wanapasiana pasiana tu, pasi zisizo na madhara yoyote. Wanacheza kama hawajala kitu kutwa nzima.
Wachezaji wa Simba wameshavimbishwa kichwa kuwa wanajua mpira kumbe hamna kitu kabisa.
Hawachezi kwa kujituma, bora alivyoingia Salamba aliwakimbiza kidogo.
Yaani wanajiona kuwa ni mastaa tayari hawataki kuanguka wala kuchafuka uwanjani.
Hamna kashkash yoyote ya maana, ni kupasiana tu, tena pasi za kurudisha mpira nyuma.
Hamna kitu kabisa kabisa kwa huyu kocha Madevu.
 
Mmeshindaaa? Haaaa
Tumeshinda mbona, moja sio goli?
?n

tetesi eti hawana mishahara miezi miwili sasa, kwa hiyo kuna mgomo baridi.
 
Khaaaa
FB_IMG_15370269489436630.jpg
 
Huu ni umburura, yaani Simba tunacheza ka ligi ni yetu? Hebu tuige spirit ya Vijana wa Pep Guadiola, sio tunaishia kuwa na majina makubwa yasiyo na faida golini. I wish Simba kwa jina na wachezaji tulonao tupige mtu kuanzia 4. Huu mpira wa kuvizia vizia tutaishia kuaibika mbeleni. Mpira kwa kushinda nyumbani tena bao 1 na kuvurunda ugenini utatutoa kamasi jamani....!!

Nikajua Ndanda tunawaogesha 6, kumbe kocha wao jana alitabiri vyema kuwa tumevimbewa na majina....!!!
 
Kuendelea kumsikiliza unproffessional MANARA na kuamini simba inapiga mpira kama ulaya na akina okwi sijui, ni kuukosea ubongo wako haki ya kufikiria......Maana kwa game ile, huwezi tofautisha na tim za mchangani uko.......sio siri tuna safari ndefu sana kwenye mpira wa miguu,,,,,,,,,,,,na kwa sababu tumeamua kuwapa wajanja wajanja wasio na uweledi, watuongezee michezo pasina weledi ni sawa ....na kusubiri trilioni 437 za Acacia
 
Yaani ni bora kama tungetoka suluhu huku mpira ukichezwa wa kuvutia.
Wanapasiana pasiana tu, pasi zisizo na madhara yoyote. Wanacheza kama hawajala kitu kutwa nzima.
Wachezaji wa Simba wameshavimbishwa kichwa kuwa wanajua mpira kumbe hamna kitu kabisa.
Hawachezi kwa kujituma, bora alivyoingia Salamba aliwakimbiza kidogo.
Yaani wanajiona kuwa ni mastaa tayari hawataki kuanguka wala kuchafuka uwanjani.
Hamna kashkash yoyote ya maana, ni kupasiana tu, tena pasi za kurudisha mpira nyuma.
Hamna kitu kabisa kabisa kwa huyu kocha Madevu.
Tunaanza kumhesabia mechi kocha, wee muache tu[emoji33] [emoji33]
 
Huu ni umburura, yaani Simba tunacheza ka ligi ni yetu? Hebu tuige spirit ya Vijana wa Pep Guadiola, sio tunaishia kuwa na majina makubwa yasiyo na faida golini. I wish Simba kwa jina na wachezaji tulonao tupige mtu kuanzia 4. Huu mpira wa kuvizia vizia tutaishia kuaibika mbeleni. Mpira kwa kushinda nyumbani tena bao 1 na kuvurunda ugenini utatutoa kamasi jamani....!!

Nikajua Ndanda tunawaogesha 6, kumbe kocha wao jana alitabiri vyema kuwa tumevimbewa na majina....!!!
Wameaminishwa na Manara kwamba watachukua kombe msimu huu, so no hurry[emoji23] [emoji23] [emoji23] Tatizo wachzaji wa simba wanajiona wao ni bab'kubwa wanajua mpira, wana hela na kombe walitetea, kwa mpira huu tukutane 30 September
 
Tunaanza kumhesabia mechi kocha, wee muache tu[emoji33] [emoji33]
Halafu anajidai kumwacha Masudi Juma.
Wakati hajui hata kufanya Sub za maana kwa wakati.
Masudi angemsaidia sana kumpa ushauri timu inapo zembeazembea.
 
Hivi live update ya humu unajua inabidi u update post #1 au?
 
Walichochemka Simba ni kutompanga mshambuliaji hatari kabisa Kagere,wangempanga wasingetoka 0-0. Next time hawatarudia kumuweka benchi huyo mshambuliaji hatari.
 
Back
Top Bottom