magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 11,075
- 24,634
Hapa Jiwe alitema point."Kwa mpira huu niliouona Simba haiwezi kuleta kombe...."(Magufuli, 2018)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa Jiwe alitema point."Kwa mpira huu niliouona Simba haiwezi kuleta kombe...."(Magufuli, 2018)
Sijawahi mwona akitema point kama hyo siku tangu aingie madarakani na hajawahi tema madini kama yale tenaHapa Jiwe alitema point.
Sijawahi mwona akitema point kama hyo siku tangu aingie madarakani na hajawahi tema madini kama yale tena
Hata mimiKama ataendelea tema madini kama haya itabidi tu niunge mkono juhudi.
Punguza jazba nilikuwa nawatania tu Watani wangu wa Yangayangu.Ama kweli kauli ya Aden Rage bado kazi kuwa "viongozi wa simba na mashabiki wao ni mambumbumbu...!! Hizo kwenye hizo mechi tuambie yanga mwenyeji mechi ngapi na mgeni mechi ngapi..??? Na katika hizo timu ngapi kati yake zinatumia uwanja wa taifa kama uwanja wa nyubani..???au zitafutie viwanja vingine timu kama African lyon, kmc na jkt zilizoomba kutumia uwanja Dar. Ukiambiwa kitu na manara tumia na akili zako co kukurupuka tuu...!! mbayuwayu