Mkuu hilo dua halitotupata Kamwe tulia uangalie mpira mzuri kutoka kwa wanamsimbazi..
Kiiza, Simba 2-0 Kagera Sugar.
Kiiza, Simba 2-0 Kagera Sugar.
mkuu kweli?
Ngapi Ngapi jamani, na dakika ni ya ngapi
Kutoka Mwadui - Kishapu - Shinyanga:
FT: Mwadui 0-1 Azam.
Mechi ya Simba imeisha?
Mechi ya Simba imeisha?