Live Update VPL: Simba SC Vs Kagera Sugar / Mwadui FC Vs Azam FC

Live Update VPL: Simba SC Vs Kagera Sugar / Mwadui FC Vs Azam FC

..yeboyebo get prepared...!
mnyama hanunuliwi, jumamosi lazima mvikalie viwili km kawa...
 
Goli la pili la Simba zawadi kutoka kwa mshika kibendera
 
Hongereni sana WanaSimba kwa Ushindi mlioupata leo. hongereni sana maana tumeweza kumaliza weekend kwa furaha kabisa. sisi hatuna uwezo wa kununua mechi kama wenzetu. mpira wetu unaonekana tunavyocheza na hata ushindi wetu unaonekana kuwa ni kwa juhudi zetu.
 
Back
Top Bottom