Hongereni sana WanaSimba kwa Ushindi mlioupata leo. hongereni sana maana tumeweza kumaliza weekend kwa furaha kabisa. sisi hatuna uwezo wa kununua mechi kama wenzetu. mpira wetu unaonekana tunavyocheza na hata ushindi wetu unaonekana kuwa ni kwa juhudi zetu.
Full Time.
Mikia 3-1 Kagera Sugar
Hamisi Kiiza>Hat Trick
Zisubilieni nyingine nying zaja
Goli la Pili shukrani ziende kwa mshika kibendera
Atawafunga Haohao Wavimba Macho Lakini Sio Kwa Wana Jangwani.Kama Uamini Iangalie Tena Backline Ya Timu Ya Taifa Iliyoisimamisha Nigeria.Kiiza Atapita Njia Gani?.Husijitoe Ufahamu Kila Mtu Ajue.
Okei, toa hilo, zinabaki 2-1, mbili za Kiiza na bado top scorer! hapo je? umerodhika?
Ndorobo Nyie!.Mechi3 Mmeshaanza Kumwita Topscorer!.Topscorer Wa Vpl Anaamuliwa Jangwani Nani Awe Topscorer Msimu Huu.Arudi Msuva Au Akae Ngoma Au Tumwachie Mwashihuya.Huyo Kiwete Wa Mikia Hawezi Kua Topscorer
Naona Kiiza ni kama Lowasa ivi Makoye Matale
..yeboyebo get prepared...!
mnyama hanunuliwi, jumamosi lazima mvikalie viwili km kawa...
Ukuta wa stars unaonekana bora sababu ya yule beki tatu wa Azam na Beki mbili wa Azam, huyu dogo aliyekuwaga simba! Kati Nigeria walikuwa hawapitii, walikuwa wanajaribu sana kupita pembeni sababu kati palikuwa pamejaa. Hivyo mabeki wa kati hawakupata test ya kutosha, testi walipata wale madogo wa pembeni na walifaulu! Namkubali Nadir haroob ila sio Kelvin na Barthez! Hawa wawili ni uchochoro!
mkuu Fullbeki Ya Kushoto Alicheza Mwinyi Haji Au Unajitoa Ufahamu Kwa Makusudi.katika Ukuta Wa Stars Ukimuondoa FullBeki Wa Kulia Shomari Kapombe Wa Azam.Waliobaki Wote Mpk Goli Kipa Ndo Backline Ya Yanga.Fullbeki Wa Kushoto Mwinyi Haji Amesaini Yanga Kutoka KMKM.Mikia Mnapenda Sana Kujifanya Hamnazo.