DOGofGOD
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 1,341
- 480
Hongereni sana WanaSimba kwa Ushindi mlioupata leo. hongereni sana maana tumeweza kumaliza weekend kwa furaha kabisa. sisi hatuna uwezo wa kununua mechi kama wenzetu. mpira wetu unaonekana tunavyocheza na hata ushindi wetu unaonekana kuwa ni kwa juhudi zetu.
Ongereni Sana Hata Majungu Mnayaweza.