DOGofGOD
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 1,341
- 480
Simba ya mwaka juzi na ile iliyoeudisha goli tatu ilikuwa mbovu kabisa, na yanga ile ilikuwa ktk ubora wake haijawahi tokea, bado mlidunda, sasa sijui unataka kusema nini na hii list ambayo nayo ni majina tu ila kiukweli haina ubora kama yanga ile.
Mkuu Usajili Wa Yanga Msimu Huu Ni Kwa Ajili Ya Kuchukua Ubingwa Wa Afrika.Lakini Sio Kwa Ajili Ya Kucheza Na Mikia.Timu Ambayo Ndani Ya Misimu Mitatu Mfululizo Imeshindwa Kuambulia Hata Nafasi Ya Pili.Kichapo Kwa Mikia Jmosi Ni Kwa Ajili Ya Kupata Pointi3 Ili Kujiimalisha Kileleni Na Kulinda Heshima Ya Yanga Lakini Mikia Sio Target Yetu Kabisa.Usajili Wa Mwaka Huu Uko Katika Level Za Kina Esperance,t.P Mazembe,zamaleki n.k Lakini Sio Mikia A.k.a Wamchangani.Zama Za Klabu Kubwa Kama Yangu Kupoteza Mda Wake Mwingi Kwa Timu Dhaifu Kama Mikia Zimeshapita.Yanga Ni Klabu Kubwa Ya Kimataifa Kwahiyo Priority Yetu Na Target Yetu Kubwa Ni Champions League.