Live Update VPL: Simba SC Vs Kagera Sugar / Mwadui FC Vs Azam FC

Simba ya mwaka juzi na ile iliyoeudisha goli tatu ilikuwa mbovu kabisa, na yanga ile ilikuwa ktk ubora wake haijawahi tokea, bado mlidunda, sasa sijui unataka kusema nini na hii list ambayo nayo ni majina tu ila kiukweli haina ubora kama yanga ile.

Mkuu Usajili Wa Yanga Msimu Huu Ni Kwa Ajili Ya Kuchukua Ubingwa Wa Afrika.Lakini Sio Kwa Ajili Ya Kucheza Na Mikia.Timu Ambayo Ndani Ya Misimu Mitatu Mfululizo Imeshindwa Kuambulia Hata Nafasi Ya Pili.Kichapo Kwa Mikia Jmosi Ni Kwa Ajili Ya Kupata Pointi3 Ili Kujiimalisha Kileleni Na Kulinda Heshima Ya Yanga Lakini Mikia Sio Target Yetu Kabisa.Usajili Wa Mwaka Huu Uko Katika Level Za Kina Esperance,t.P Mazembe,zamaleki n.k Lakini Sio Mikia A.k.a Wamchangani.Zama Za Klabu Kubwa Kama Yangu Kupoteza Mda Wake Mwingi Kwa Timu Dhaifu Kama Mikia Zimeshapita.Yanga Ni Klabu Kubwa Ya Kimataifa Kwahiyo Priority Yetu Na Target Yetu Kubwa Ni Champions League.
 
Tunawapiga sita bila ndio muache kuchonga ngebe....nyie kwa simba wachumba tu
 
Hivi Lowasa anaweza kuhonga nyomi yote ile.Mkuu huu ni mwaka wa uchaguzi soka imo kwenye ilani,huwezi kusema tusiongelee

Mkuu OKW BOBAN SUNZU sijawahi kukuzuia kuongea kuhusu siasa. Lipo jukwaa la Siasa pamoja na jukwaa la Uchaguzi 2015, habari za wanasiasa unaowapenda zipeleke huko ili jukwaa hili libaki kuwa na habari za michezo.

Naamini umenielewa na hutachanganya tena mambo hayo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom