Live update VPL; Simba SC vs Stand UTD/ Mtibwa Sugar vs Yanga SC / Azam FC vs Coastal Union

Live update VPL; Simba SC vs Stand UTD/ Mtibwa Sugar vs Yanga SC / Azam FC vs Coastal Union

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Leo VPL inaingia kwenye mzunguko wa 5 kwa viwanja mbalimbali kuwaka moto mnyama mkali simba atakuwa taifa kumenyana na chama la wana stand utd
Mjini morogoro Yanga itakuwa uwanja wa jamuhuri kucheza na mtibwa sugar , yanga itakuwa inatafuta ushindi wa kwanza baada ya miaka 5 kuambulia patupu.
Azam fc watakuwa chamazi complex kuwakaribisha wagosi wa kaya coastal union wanaosaka ushindi wa kwanza kwenye ligi.
washambuzi mbalimbali wanazipa nafasi kubwa timu za Azam, Simba, na Mtibwa sugar kuibuka na ushindi leo. ikumbukwe mtibwa haijapoteza mchezo wowote tangu ligi ianze.

Kikosi cha Simba leo dhidi ya stand utd leo
1. peter manyika
2. hassan kessy
3. husein shabalala
4. juuko mushid
5. justin majabvi
6. jonas mkude
7. simon serenkuma
8. said hamis juma
9. musa mgosi
10. boniface maganga
11. peter mwalyanzi

SUB;
vicent angban
abdi banda
joseph kimwaga
ibrahim ajibu
emery nimubona
awadh juma
 
hasira zote tunaziangushia kwa hawa stendi yunaitedi,,,,,

maandiko yanasema ukipigwa shavu la kushoto unatoa na la kulia...yanga kawapiga kushoto basi msikiuke maandiko kwa kuruhusu Yunited wawapige la kulia!
 
Anaanzisha uzi wakati yeye mwenyewe ni mchovu, siku ingine usikurupuke
 
Back
Top Bottom