Live update VPL; Simba SC vs Stand UTD/ Mtibwa Sugar vs Yanga SC / Azam FC vs Coastal Union

Live update VPL; Simba SC vs Stand UTD/ Mtibwa Sugar vs Yanga SC / Azam FC vs Coastal Union

half tm: Azam fc 0 coastal union 0, simba 0 stand utd 0, majimaji 0 ndanda 0
 
Uwanja wa Jamhuri mbaya sana aisee...

Bora uendelee kufanyika mikutano ya siasa tu...
 
Azam 1 coastal union 0, shomari kapombe kaweka
 
Beki ya Mtibwa imejichanganya na kipa wao...

Busungu katupia kambani kiulaini...
 
Back
Top Bottom