fulltime azam 1 mtibwa 1
Yanga tukishinda mechi tatu kuanzia ya Kesho na Mbeya City tunatanza Ubingwa kwa Azam Fc either tumchape au waforce draw.
FT : Ndanda FC 0 - 0 Tanzania Prisons
FT : Mtibwa Sugar FC 1 - 1 Azam FC ( Mussa Mgosi for Mtibwa | Himid Mao for Azam)
FT : JKT Ruvu FC 0 - 2 Coastal Union ( Ike Obbina, Rama Salim)
•Kagera Sugar na Ruvu Shooting imehairishwa hadi jumatatu.
Yanga nii mabingwaSimba na Azama watagombania nafasi ya 2 hivyo hakuna kuachiana kamakamakamaka jana.
hii n hujum kw Azam
Nani anayeihujumu azam???
hii n hujum kw Azam
Hivi "baby" ipo kwenye vpl?
Livescores sio special kwa ajili ya Ligi tu hata kwa friendlies. Fulltime Simba 3- Toto 0
kwa mwendo huu wa azam, kwa mbaaali naona simba akimshangilia YANGA siku YANGA akicheza nå azam...azam kazi anayo Hata hiyo nafasi ya pili, nå mwenye kujua michezo.aliyobakisha azam kumaliza msimu atujuze tuangalie uwezekano Hata wa hiyo nafasi ya pili kwa azam
18/04/2015: Azam v Kagera Sugar
25/04/2015: Azam v Stand United
02/05/2015: Simba v Azam
09/05/2015: Azam v Mgambo JKT
Mwingine aongezee mechi 2 zilizosalia.
YANGA v Azam(wachoma vitumbua)
Hongera mikia fc kwa ushindi..tupeni nå majina ya wafungaji
hongera mikia fc kwa ushindi..tupeni nå majina ya wafungaji