Live Update: VPL tarehe 11/04/2015

Live Update: VPL tarehe 11/04/2015

Yanga tukishinda mechi tatu kuanzia ya Kesho na Mbeya City tunatanza Ubingwa kwa Azam Fc either tumchape au waforce draw.

Simba na Azam sasa watagombania nafasi ya 2 hivyo hakuna kuachiana kama mwaka jana.
 
FT : Ndanda FC 0 - 0 Tanzania Prisons
FT : Mtibwa Sugar FC 1 - 1 Azam FC ( Mussa Mgosi for Mtibwa | Himid Mao for Azam)
FT : JKT Ruvu FC 0 - 2 Coastal Union ( Ike Obbina, Rama Salim)

•Kagera Sugar na Ruvu Shooting imehairishwa hadi jumatatu.


kwa matokeo haya bingwa tayari ashajulikana.
 
Mwaka huu tunapiga jaramba CAF confederation cup lazima tuingie kwenye makundi halafu mwakani tunatikisa kwenye CAF Champions League, Simba wako Mufindi cup, Ndondo Cup na Mtani Jembe
 
Lazima yanga kesho imfunge mbeya city yanga daima mbele nyuma mikia
 
kwa mwendo huu wa azam, kwa mbaaali naona simba akimshangilia YANGA siku YANGA akicheza nå azam...azam kazi anayo Hata hiyo nafasi ya pili, nå mwenye kujua michezo.aliyobakisha azam kumaliza msimu atujuze tuangalie uwezekano Hata wa hiyo nafasi ya pili kwa azam
 
kwa mwendo huu wa azam, kwa mbaaali naona simba akimshangilia YANGA siku YANGA akicheza nå azam...azam kazi anayo Hata hiyo nafasi ya pili, nå mwenye kujua michezo.aliyobakisha azam kumaliza msimu atujuze tuangalie uwezekano Hata wa hiyo nafasi ya pili kwa azam

18/04/2015: Azam v Kagera Sugar
25/04/2015: Azam v Stand United
02/05/2015: Simba v Azam
09/05/2015: Azam v Mgambo JKT
......................: Young Africans v Azam

Mwingine aongezee mechi 1 iliyosalia.
 
hivi yule jamaa wa kulialia wa azam sijui Ndio stivu azam Bado huwa anakwenda kuisapoti azam viwanjani kweli? nahisi huwa anataman kurudi YANGA ila anashindwa aanzie wapi
 
hongera mikia fc kwa ushindi..tupeni nå majina ya wafungaji

moja ibrahim ajibu, moja beki kijana ndo nmemwona leo anavaa jezi no 12 na dogo mmoja simba ndo wamemchukua hapa mwanza klabu ya nyamagana stars
 
Back
Top Bottom