New Tz 2015
Member
- Jul 28, 2015
- 6
- 1
Nimekusoma mkuu Abou
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usimwamini huyo, bado ni bila kwa bila.Nimekusoma mkuu Abou
Awadh Juma na Emiry wameingia, wametoka Ramadhan Kessy na Kiungo Mzimbabwe.
Hamis kiiza amevaa jezi ya juu namba 9 alafu bukta namba 6, bongo bhana
Kwan abou nae ni yakimataifa?? Mbona analeta updates za uongo?
Tunawasubiri siku ya nani mtani jembe.Mnatoa tu wachezaji magoli hayaingii
Wamchangani bwana 😀😀😀😀😀
Tunawasubiri siku ya nani mtani jembe.
Teh teh teh Mimi ni Wa kukwea pipa sio azam marine
Hamis kiiza amevaa jezi ya juu namba 9 alafu bukta namba 6, bongo bhana
Mechi ya Simba na Yanga haijarishi ni ya nini uzito ni ule ule, iwe ni bonanza, fete, ligi kuu bado uwanja utajaa tu na atakayefungwa lazima atambiwe.Mechi za bonanza sisi hatuna mda nazo
Mechi za bonanza sisi hatuna mda nazo
Kaka usiseme bongo,sema mbumbumbu bwana.elimu Yao imeishia hapo.....