Live updates(8/8/2015): Simba vs FC Leopard

vipi sharubu zimeshanyolewa hapo taifa au salon hakuna umeme?refa kaamua kuwapunguzia watu
 
Villa wako pungufu lakini simba bado wanashindwa kulitumia pengo
 
Hamis kiiza amevaa jezi ya juu namba 9 alafu bukta namba 6, bongo bhana
 
Awadh Juma na Emiry wameingia, wametoka Ramadhan Kessy na Kiungo Mzimbabwe.
 
Awadh Juma na Emiry wameingia, wametoka Ramadhan Kessy na Kiungo Mzimbabwe.

Mnatoa tu wachezaji magoli hayaingii

Wamchangani bwana πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hamis kiiza amevaa jezi ya juu namba 9 alafu bukta namba 6, bongo bhana

Mkuu sita na tisa inategemea unaisoma kutoka wapi, inawezekana Hamis Kiiza aliisoma na ya bukta kutoka juu kwenda chini na wewe unaisoma kutoka chini kwenda juu
 
Simba mnajitahidi...

Mmebadilika kidogo si kama msimu ulioisha...
 
Mechi za bonanza sisi hatuna mda nazo
Mechi ya Simba na Yanga haijarishi ni ya nini uzito ni ule ule, iwe ni bonanza, fete, ligi kuu bado uwanja utajaa tu na atakayefungwa lazima atambiwe.
 
Duh...hili goli la Simba ni shiiida

Baada ya piga nikupige Awadh Juma anaachia mkwaju mmoja matata unaoingia kona ya juu kushoto...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…