Live updates(8/8/2015): Simba vs FC Leopard

Awadh Juma anatutoa kimasomaso hapa. Simba 1-0 Villa.
 
Awadh Juma anatutoa kimasomaso hapa. Simba 1-0 Villa.

Lile goli sijaliona siku nyingi sana mchezaji wa Kitanzania akifunga...

Kanikumbusha sana Salvatory Edward alipoifungia timu ya Tanzania Bara michuano ya Castle...
 
Lile goli sijaliona siku nyingi sana mchezaji wa Kitanzania akifunga...

Kanikumbusha sana Salvatory Edward alipoifungia timu ya Tanzania Bara michuano ya Castle...

Mimi nilikuwa nasikiliza radioni, nadhani litakuwa kama la Sunday Oliseh, huu moto sijui tutaenda nao hadi ligi kuu au itakuwa kama mwaka jana. Mungu saidia mwaka huu uwe ni mwaka wa mafanikio kwetu.
 
Mimi nilikuwa nasikiliza radioni, nadhani litakuwa kama la Sunday Oliseh, huu moto sijui tutaenda nao hadi ligi kuu au itakuwa kama mwaka jana. Mungu saidia mwaka huu uwe ni mwaka wa mafanikio kwetu.

Dizaini kama ile isipokuwa yeye pasi kaipokea toka kwa beki aliyeokoa...

Sasa mpira kabla haujatua kaunganisha vilevile ulivyo...

Mimi ni Yanga lakini sijajuta kuliona hili goli...

Nilikuwa nimetoka zangu kuwatazama Mazembe ndio nikahamia kwa gemu hii ya Simba...
 
ila huyu issa ramadhani si ndio yule kijana mwenye sifa kama za matola?inatia kinyaa
 
Vp matokeo??Wazee wa mara 4 mara 3 KWA WALA UROJO LEO VP KWA HAO WANAOKULA DONA??????Au game haijaisha??
 
Hii ni bonanza, mtu asiaibike, hivi kweli mnategemea kuona ushindani?
 
Masuke kafurahi sana kuiona hiyo post...

Hahaha
Mkuu mwaka jana Simba day tulipata shida sana, utani ulikuwa ni watu na siku zao na ukizingatia tulifungwa goli tatu kwa hiyo hata wanaume tulijumuishwa kwenye kundi la watu na siku zao. Ilikuwa fedheha kweli.
 
Last edited by a moderator:
Hahah...

Na leo mmevunja mwiko maana tokea muanze Simba day hamjawahi kushinda mechi hata moja...

Mkuu mwaka jana Simba day tulipata shida sana, utani ulikuwa ni watu na siku zao na ukizingatia tulifungwa goli tatu kwa hiyo hata wanaume tulijumuishwa kwenye kundi la watu na siku zao. Ilikuwa fedheha kweli.
 
Asante Mkuu, imeonekana. Kuna nini kipya hapo? Bao lenyewe ni la 'piga nikupige'.

Mlikuwa mnagawa dozi kwa akina Hamijee mkajiona mmeimarika mmekutana na wabovu SC Villa na kubahatisha kimoja imekuwa taabu.

Anyway hongereeni kwa ushindi huu maana miaka ya nyuma kila Simba Day mlikuwa mnatobolewa na kitu chenye ncha kali halafu cha moto (sharpened edge and red hot). Mlikuwa mnakimbilia kwenye lambo la kuzimisha artificial orifice (Ilambo lya jimya shindo).

CC. WABHEJASANA.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…