Live updates: Alliance FC vs Young Africans

Live updates: Alliance FC vs Young Africans

Ila yanga jamani msimu huu anapata changamoto katika hatua hii,Hapa akifanikiwa kupita basi hatua ya Robo Fainali anaenda kukutana na Lipuli tena akiwa lipuli akiwa kwao Iringa
 
mpira ni mapumziko fei toto kaenda na njano




yanga anaongoza moja



mwamuzi hakujua kama ni goli coz mpira uliopigwa na makambo ulichana nyavu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom