Penologist
JF-Expert Member
- Feb 25, 2019
- 790
- 1,923
Dogo mihemko imekupanda na upo kwa shemeji yako akirudi atakugeuza kama dada yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dogo mihemko imekupanda na upo kwa shemeji yako akirudi atakugeuza kama dada yako.
Aisee hawa watoto wakiendelea hivi mwaka ujao watakufa na mutu. Wanapiga vocha za hatari yani bora ukutane na simba ila sio hawa watoto wa shule. Nimeamini timu za mwanza zote ni wabishi kwelikweli.
kufa ni kufa hakuna kufa kiumeAlliance wamekosa uzoefu lakini wamekufa kiume Hongera sana alliance schools
Sent using Jamii Forums mobile app
Nishakupakata tayari,haya anza kukata miuno sasaDogo mihemko imekupanda na upo kwa shemeji yako akirudi atakugeuza kama dada yako.
🙂🙂🙂
Ushindi wa penatì kuna kubebana?
.
Ukiangalia Moira dk 90?Ushindi wa penatì kuna kubebana?
Kindoki De Gea ndo katubeba