Mr Never Mind
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 287
- 335
ila team ndogo hazina bahati alliance kaupiga mwingiIla yanga jamani msimu huu anapata changamoto katika hatua hii,Hapa akifanikiwa kupita basi hatua ya Robo Fainali anaenda kukutana na Lipuli tena akiwa lipuli akiwa kwao Iringa