Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Hakika Alliance wanapambana ila kuna makosa ya kukosa uzoefu wanaweza fungwa kizembe dk ya 40 ngoja tuonealliance walistahil kushinda hii game hakika watajilaum
fei toto anenda bench anaingia kamusoko
Sent using Jamii Forums mobile app
hii mechi ilikua hatariHawa Alliance schools Hongera kwao hata mkifungwa mtakuwa mmekufa kiume
Sent using Jamii Forums mobile app