Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu angalia table kwa makini mtu wa kwanza kampita simba points 8 ni mechi 3 hizo mbona inawezeka tena bila miujiza ukizingatia ndo kwanza round ya 2 imeanza. Simba ndo bingwa bila kumung'unya maneno
wenye soka wapo tuliii,! simba my club normally to win!!!!
mwambie huyoo!!!!! mpira utadunda tuu!
Wakata miwa wanapigwa la 3. Azam 3-1 Mtibwa.
Wamechukua chao nini, mbona wanafungwa kirahisi hivi?
mkuu angalia table kwa makini mtu wa kwanza kampita simba points 8 ni mechi 3 hizo mbona inawezeka tena bila miujiza ukizingatia ndo kwanza round ya 2 imeanza. Simba ndo bingwa bila kumung'unya maneno
Yawezekana walitumia nguvu nyingi kwenye mchezo dhidi ya yanga, wanaweza wakapigwa mpaka 5. Acha wapigwe tu ili siku nyingine waache tabia ya kuikamia yanga wajue ligi hii inashirikisha timu nyingi sio yanga pekee.
Hili ndio tatizo la mashabiki wa Yanga, kwa nini usiseme kwamba timu ya Azam ni nzuri kuliko ya kwenu? Na huo ndo ukweli Azam kwa sasa wana timu nzuri kuliko timu zote za ligi kuu na wasipojisahau au kupata majeruhi wana asilimia kubwa sana ya kutetea ubingwa.Yawezekana walitumia nguvu nyingi kwenye mchezo dhidi ya yanga, wanaweza wakapigwa mpaka 5. Acha wapigwe tu ili siku nyingine waache tabia ya kuikamia yanga wajue ligi hii inashirikisha timu nyingi sio yanga pekee.
Hili ndio tatizo la mashabiki wa Yanga, kwa nini usiseme kwamba timu ya Azam ni nzuri kuliko ya kwenu? Na huo ndo ukweli Azam kwa sasa wana timu nzuri kuliko timu zote za ligi kuu na wasipojisahau au kupata majeruhi wana asilimia kubwa sana ya kutetea ubingwa.
Wafungaji tafadhari
Dak ya 52 Azam 3-1 Mtibwa.
Wafungaji tafadhari
Tatizo ndo ninalolisema, nyie mnaamini kila msimu timu yenu ni nzuri kuliko timu zote na mkifungwa hamtaki kukubali kwamba mmezidiwa ila mnaamini huwa mnafungwa kwa hujuma au ujanja ujanja mwingine lakini ndugu yangu Makoye Matale nikuambie tu kwa msimu huu Azam wako vizuri kuliko timu yoyote ya ligi kuu.Sema Azam ni bora kuliko Mtibwa na Simba, Yanga ni habari nyingine Mkuu.
Wajitajidi wasawazishe.