Live updates: Epiq bongo star search final 2013..

sexologist

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2010
Posts
2,276
Reaction score
976
Mashindano ndo yameanza, majaji ni madam Ritha, Master J na Banana.. wasaidizi ni Fid Q, Barnaba na mwingne.. Show imefunguliwa na Amina Chibaba na wimbo wake "subira ya moyo".. Amepata max 10 ktoka kwa fid, 9 toka kwa banana na 10 toka kwa unknwn judge..

Kafuatia Elizabeth Mwakijambile na wmbo wake "nifanyeje"
 
Wa nne ni Maina Thadei.. anaimba wimbo wake wa taarabu unaoitwa "panya"
 
Mashindano ndo yameanza, majaji ni madam Ritha, Master J na Banana.. wasaidizi ni Fid Q, Barnaba na mwingne.. Show imefunguliwa na Amina Chibaba na wimbo wake "subira ya moyo".. Amepata max 10 ktoka kwa fid, 9 toka kwa banana na 10 toka kwa unknwn judge..

Kafuatia Elizabeth Mwakijambile na wmbo wake "nifanyeje"

Wapi Salama Jabir??
 
Back
Top Bottom