junky JF-Expert Member Joined May 11, 2017 Posts 413 Reaction score 978 Nov 2, 2018 #1 Fainali ya kwanza ya michuano ya Caf kati ya Al Ahly na Esperance.Saizi ni Half time Al ahly wanaongoza bao 1-0 Dakika ya 58 Al Ahly wanapata bao la pili Mechi inaonyeshwa live zbc 2
Fainali ya kwanza ya michuano ya Caf kati ya Al Ahly na Esperance.Saizi ni Half time Al ahly wanaongoza bao 1-0 Dakika ya 58 Al Ahly wanapata bao la pili Mechi inaonyeshwa live zbc 2