Live Updates-Fainali ya Ndondo Cup 2016

Live Updates-Fainali ya Ndondo Cup 2016

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
Kauzu FC VS Temeke Market

Leo ndio kilele cha mashindano ya Sports Extra Ndondo Cup ambapo utapigwa mchezo wa fainali kati ya Kauzu FC dhidi ya Temeke Market ‘Temeke Derby’ kwenye uwanja wa Bandari.

Dk ya 15 Temeke wako mbele kwa bao moja


IMG_0011-1.jpg
 
Mpaka michuano hii inaisha halafu hajapatikana hata mchezaji mmoja mwenye kipaji cha kipekee na kuchukuliwa na Klabu mojawapo ya LigiKuu, nashauri yafutwe!
 
Kisiga amefunga bao la pili
 
Adam KINGWANDE Amefunga la tatu

Temeke Market bao 3
 
Rashid Gumbo anaipatia Kauzu FC Bao la kwanza

Temeke 3 Kauzu 1
 
Mapumziko

Kauzu kazi wanayo kurejesha bao 2
 
Mpaka michuano hii inaisha halafu hajapatikana hata mchezaji mmoja mwenye kipaji cha kipekee na kuchukuliwa na Klabu mojawapo ya LigiKuu, nashauri yafutwe!
Mkuu shauri na hiyo ligi kuu pia ifutwe...maana ikianza mpaka inaisha hakunaga hata mchezaji mmoja anayechukuliwa nje....ikitokea labda mmoja laaaabdaa
 
Mbona nasikia tu majina ya baadhi ya wachezaji waliohawi kucheka ligi kuu 'adam kigwande' rashid gumbo'
 
Back
Top Bottom