Live Updates: FC Platinum vs Simba SC, Uwanja wa Taifa - Zimbabwe

Kuhusu Bocco kukaa nje hainistui.
Morrison ye naye sio mchango wake ktk timu. Alivokuwa Yanga alikuwa na kiwango. Sio huyu wa sasa
Manula ndo pendo kubwa.

Tumwachie kocha
 
TANGAZO KWA WATEJA WA AZAM MEDIA:

Ndugu wateja wa Azam tunapenda kukufahamisha kuwa kutokana na uwepo wangu mechi za Kimataifa siku ya leo zinazohusu Simba na Namungo,Hivyo mechi ya Yanga vs Ihefu itaoneshwa kwenye channel ya SINEMA ZETU.

Tunaomba rashidi kwa usumbufu uliojitokeza.
 
Bora zinapigwa mda mmoja

Maana vibanda umiza wangetulipisha twice[emoji851]
 
Powered by facebook.
 
Tukutane saa 10 kwa Mugabe tukimpiga mtu kimoko cha nguvu, ila tukifungwa ni uzembe wetu & kutokuwa na bahati
 
Ha ha ha ha,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…