Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Tulia weweAcha umbea ww.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia weweAcha umbea ww.
Mtapitia njia gani na kwenda wapi?FT FC Platinum 1-0 Simba SC
Hii match, tutapita. Msikonde mashabiki wa Simba SC
Unaongelea Muddy?Yule tajiri wao ana hali gani?
Wanajipa matumaini hewa,Yule tajiri wao ana hali gani?
.... jipeni moyo tuuu, labda muingie makundi ya WhatsApp....Kama kuna mechi ambayo haijanipa pressure ni hii ya leo ya Platinum 1 - 0 Simba hadi dk 90'. Vyura wenyewe wanajua kuwa tayari Simba anaenda kuingia makundi.
Huu uzi tuutunze kwa ajili ya ukumbusho wa baadaye. Waitress fanya fasta 🍺 nijipongeze kabla ya kuwaua Platinum na Vyura hapo January.
January 6, 2021Game ya marudiano lini?
Simba wamecheza mpira sana lakini wamekosa mbinu za ushindi. Platinum wamecheza kidogo lakini walikuwa na mbinu bora kabisa na mpango kazi wao umefanya kazi vizuri. Waliwaacha Simba wacheze "square pass" kwenye nusu yao kisha wao walikuwa wanavamia Simba inapovuka mstari wa katikati kisha wakiupata mpira wanaenda kwa kasi kwenye goli la Simba. Pasi nyingi za Simba zilikuwa hazina madhara makubwa kwa sababu walikuwa muda mwingi wanacheza kwenye nusu ya kwao. Na mbaya zaidi viungo wa Simba walipopata mipira walikuwa wanageukia nyuma kwenye goli lao badala ya kugeukia mbele kwa kasi.
Simba lazima wajifunze mbinu ya kushambulia kwa kasi na kushtukiza pale wanapomnyang'anya adui mpira. Waache kukariri kuwa mpira lazima uanze nyuma kwa mabeki wote waugusue halafu wanampa kiungo wakati huo adui anajipanga upya watu saba mpaka nane nyuma ya mpira. Mara nyingine wanapaswa wapeleke mipira kwa washambuliaji wao haraka ili wawalazimishe mabeki wa timu pinzani wafanye makosa. Inasikitisha kwakweli mpira umebaki dakika 15 uishe bado timu inang'ang'ania kucheza "square pass" kwenye nusu yao.
Na ni muda muafaka sasa Simba ivunje benki ili ipate walau beki mmoja wa katikati wa kuaminika wakati huo huo wakianza kumwamini na kumpa majukumu Ame. Na ijiandae kisaikolojia kucheza bila ya Wawa kwani akili yake inataka lakini mwili wake umeanza kumgomea.
Umeongea point mzee baba hili limekuwa gonjwa sugu Sana kwa SimbaSimba wamecheza mpira sana lakini wamekosa mbinu za ushindi. Platinum wamecheza kidogo lakini walikuwa na mbinu bora kabisa na mpango kazi wao umefanya kazi vizuri. Waliwaacha Simba wacheze "square pass" kwenye nusu yao kisha wao walikuwa wanavamia Simba inapovuka mstari wa katikati kisha wakiupata mpira wanaenda kwa kasi kwenye goli la Simba. Pasi nyingi za Simba zilikuwa hazina madhara makubwa kwa sababu walikuwa muda mwingi wanacheza kwenye nusu ya kwao. Na mbaya zaidi viungo wa Simba walipopata mipira walikuwa wanageukia nyuma kwenye goli lao badala ya kugeukia mbele kwa kasi.
Simba lazima wajifunze mbinu ya kushambulia kwa kasi na kushtukiza pale wanapomnyang'anya adui mpira. Waache kukariri kuwa mpira lazima uanze nyuma kwa mabeki wote waugusue halafu wanampa kiungo wakati huo adui anajipanga upya watu saba mpaka nane nyuma ya mpira. Mara nyingine wanapaswa wapeleke mipira kwa washambuliaji wao haraka ili wawalazimishe mabeki wa timu pinzani wafanye makosa. Inasikitisha kwakweli mpira umebaki dakika 15 uishe bado timu inang'ang'ania kucheza "square pass" kwenye nusu yao.
Na ni muda muafaka sasa Simba ivunje benki ili ipate walau beki mmoja wa katikati wa kuaminika wakati huo huo wakianza kumwamini na kumpa majukumu Ame. Na ijiandae kisaikolojia kucheza bila ya Wawa kwani akili yake inataka lakini mwili wake umeanza kumgomea.
... Mie nliwaambia kina Da Gladiator, kuwa timu yao ni ya kawaida sanaaa na sio kama wanavyoiongelea.Simba hamna kitu palee
Yes Mwamedi.Unaongelea Muddy?
Kwamba mtapindua meza kwa Mchina ?Yuko sawa tu, mechi bado mbichi boss
Uko sahihi, pia Simba inatakiwa kusajili striker kijana mwenye uwezo mkubwa na iachane na usajili wa wazee.Simba wamecheza mpira sana lakini wamekosa mbinu za ushindi. Platinum wamecheza kidogo lakini walikuwa na mbinu bora kabisa na mpango kazi wao umefanya kazi vizuri. Waliwaacha Simba wacheze "square pass" kwenye nusu yao kisha wao walikuwa wanavamia Simba inapovuka mstari wa katikati kisha wakiupata mpira wanaenda kwa kasi kwenye goli la Simba. Pasi nyingi za Simba zilikuwa hazina madhara makubwa kwa sababu walikuwa muda mwingi wanacheza kwenye nusu ya kwao. Na mbaya zaidi viungo wa Simba walipopata mipira walikuwa wanageukia nyuma kwenye goli lao badala ya kugeukia mbele kwa kasi.
Simba lazima wajifunze mbinu ya kushambulia kwa kasi na kushtukiza pale wanapomnyang'anya adui mpira. Waache kukariri kuwa mpira lazima uanze nyuma kwa mabeki wote waugusue halafu wanampa kiungo wakati huo adui anajipanga upya watu saba mpaka nane nyuma ya mpira. Mara nyingine wanapaswa wapeleke mipira kwa washambuliaji wao haraka ili wawalazimishe mabeki wa timu pinzani wafanye makosa. Inasikitisha kwakweli mpira umebaki dakika 15 uishe bado timu inang'ang'ania kucheza "square pass" kwenye nusu yao.
Na ni muda muafaka sasa Simba ivunje benki ili ipate walau beki mmoja wa katikati wa kuaminika wakati huo huo wakianza kumwamini na kumpa majukumu Ame. Na ijiandae kisaikolojia kucheza bila ya Wawa kwani akili yake inataka lakini mwili wake umeanza kumgomea.
Sawa Ambangile wamekuelewa. Na yule tajiri yao alivyo na mkono wa birika. Atavunja kweli benki?Simba wamecheza mpira sana lakini wamekosa mbinu za ushindi. Platinum wamecheza kidogo lakini walikuwa na mbinu bora kabisa na mpango kazi wao umefanya kazi vizuri. Waliwaacha Simba wacheze "square pass" kwenye nusu yao kisha wao walikuwa wanavamia Simba inapovuka mstari wa katikati kisha wakiupata mpira wanaenda kwa kasi kwenye goli la Simba. Pasi nyingi za Simba zilikuwa hazina madhara makubwa kwa sababu walikuwa muda mwingi wanacheza kwenye nusu ya kwao. Na mbaya zaidi viungo wa Simba walipopata mipira walikuwa wanageukia nyuma kwenye goli lao badala ya kugeukia mbele kwa kasi.
Simba lazima wajifunze mbinu ya kushambulia kwa kasi na kushtukiza pale wanapomnyang'anya adui mpira. Waache kukariri kuwa mpira lazima uanze nyuma kwa mabeki wote waugusue halafu wanampa kiungo wakati huo adui anajipanga upya watu saba mpaka nane nyuma ya mpira. Mara nyingine wanapaswa wapeleke mipira kwa washambuliaji wao haraka ili wawalazimishe mabeki wa timu pinzani wafanye makosa. Inasikitisha kwakweli mpira umebaki dakika 15 uishe bado timu inang'ang'ania kucheza "square pass" kwenye nusu yao.
Na ni muda muafaka sasa Simba ivunje benki ili ipate walau beki mmoja wa katikati wa kuaminika wakati huo huo wakianza kumwamini na kumpa majukumu Ame. Na ijiandae kisaikolojia kucheza bila ya Wawa kwani akili yake inataka lakini mwili wake umeanza kumgomea.
Hata mwekezaji ni kuangaliwa. Kama anatuaminisha kwamba anatengeneza timu ya walau kufika nusu fainali ya champion league kwanini hasajili wachezaji wa kiwango cha juu?Simba ya Sven hapana kwa kweli...
Pia kwanini anachukua kocha wa bei rahisi kwa sababu yule kocha kiukweli ni wa bei ya chiniHata mwekezaji ni kuangaliwa. Kama anatuaminisha kwamba anatengeneza timu ya walau kufika nusu fainali ya champion league kwanini hasajili wachezaji wa kiwango cha juu?
Mo ni bahiri wakati anataka mafanikio ndani ya timu, haiwezekani. Anataka timu ifike nusu fainali wakati ndani ya timu hakuna mchezaji ambaye amewahi kuisadia timu yoyote kufika kilele cha mafanikio kwenye mashindano ya Champion League.Pia kwanini anachukua kocha wa bei rahisi kwa sababu yule kocha kiukweli ni wa bei ya chini