Live Updates: FC Platinum vs Simba SC, Uwanja wa Taifa - Zimbabwe

Mo ni bahiri wakati anataka mafanikio ndani ya timu, haiwezekani. Anataka timu ifike nusu fainali wakati ndani ya timu hakuna mchezaji ambaye amewahi kuisadia timu yoyote kufika kilele cha mafanikio kwenye mashindano ya Champion League.
Mo aliachana na uchebe sababu kubwa baada ya simba kutolewa aliona atapata hasara halafu hatumii akili alikataa kumpa mkataba Okwi akidai anataka pesa nyingi huku akitumia pesa nyingine kusajili kina ajibu na wachezaji wengine wasio na msaada, si ajabu tunamlaumi kishingo kuweka wachezaji wenye uwezo benchi kumbe anapokea maagizo toka kwa mo ili aachane nao aokoe pesa ya mishahara
 
Mo ni bahiri wakati anataka mafanikio ndani ya timu, haiwezekani. Anataka timu ifike nusu fainali wakati ndani ya timu hakuna mchezaji ambaye amewahi kuisadia timu yoyote kufika kilele cha mafanikio kwenye mashindano ya Champion League.
Mo sio bahiri ila hana watu sahihi wa kumshauri au labda hashauriki, hii kauli ya kusema tunataka kikosi kipana ni upumbavu mtupu, kuna rundo la wachezaji wasio na faida kwenye timu. Unaweza ukawa na wachezaji wachache bora kwenye timu wakawa na msaada kuliko kujaza akina kahata na ajibu sijui ilanfya uchafu mtupu. Wakati wa usajili ndo tunabugi mazima hata ukiangalia wachezaji tunaowategemea msimu huu ni walewale wa msimu uliopita.
 
hapa FC platinum alikua bora zaidi ya leo

Hi ilikua 2015

Haya Sasa Mtani game ya Home maliza kazi utinge 16 bora

Screenshot_20201223-201503.jpg
 
Mo sio bahiri ila hana watu sahihi wa kumshauri au labda hashauriki, hii kauli ya kusema tunataka kikosi kipana ni upumbavu mtupu, kuna rundo la wachezaji wasio na faida kwenye timu. Unaweza ukawa na wachezaji wachache bora kwenye timu wakawa na msaada kuliko kujaza akina kahata na ajibu sijui ilanfya uchafu mtupu. Wakati wa usajili ndo tunabugi mazima hata ukiangalia wachezaji tunaowategemea msimu huu ni walewale wa msimu uliopita.
Watu wanamshauri kulingana na pesa anayotenga kwa ajili ya usajili. Washauri hawawezi kumshauri kuwasajili wachezaji wa daraja la juu wakati pesa anayotenga ni ya kusajili akina Onyango, Ilanfya, Mugalu, Ame, n.k.

Naungana na wewe yawezekana yeye mwenyewe ndiye anataka akina Kagere wasipangwe mara kwa mara ili ionekane kiwango chao kimeshuka ili wapate sababu ya kuwaacha mikataba yao itakapokwisha.
 
Kwamba hana pesa ya kuwalipa ?!
 
Kama kuna mechi ambayo haijanipa pressure ni hii ya leo ya Platinum 1 - 0 Simba hadi dk 90'. Vyura wenyewe wanajua kuwa tayari Simba anaenda kuingia makundi.

Huu uzi tuutunze kwa ajili ya ukumbusho wa baadaye. Waitress fanya fasta 🍺 nijipongeze kabla ya kuwaua Platinum na Vyura hapo January.
Mkuu jipige kifua. Kisha sema mm ni SimbA SC.
 
Back
Top Bottom