Live updates, Ligi Kuu Vodacom: Mgambo vs Yanga

Ila pia tuseme tu okwi ana mapenzi makubwa na simba bana, mbona kule yanga alikuwa hajitumi hivyo?? kila wakati yeye kuomba udhuru tu kwenda kwao, halafu hata siku anayokuwemo hajitumi kama afanyavyo kwa simba

Ni kweli alikuwa hajitumi akiwa Yanga. Hata hivyo kuendelea kubaki Yanga kungeinyima fursa Simba kumtumia na kuendelea kupeleka misiba kwetu.
 
Mzima kabisa aisee na furaha tele!!
Tusubiri hiyo kesho tuone kama Costo watamthibiti huyo kidudu mtu anayetupumilia karibu???

'... tunakwenda kunywa maji kwenye dimbwi lenye vyura wengi wanaopiga kelele, ambao hawatuzuii kuyanywa hayo maji. ... Yanga njooni kwa wingi uwanjani maana mbaya wenu kapata mbaya wake' (Masao Bwire akijinasibu kuicharaza Simba hapo kesho). Source: TBC Taifa.
 

ni katika kukumbushana tuu. mi nakufunga nachukua ubingwa unaona fahari kumfunga yanga then unafurahia kwa aibu stand united na mgambo:dance::dance:

Unafikiri hiyo link niliyokupa sisi hatukuchukua ubingwa? Hebu kaisome vizuri.
 
Last edited by a moderator:
Yanga yanga yangaaaaaaaaa vidume vya Tanzania
 
Kwani ugomvi? Mi nimekukumbusha tuu kama wewe ulivyonikumbusha.
Hakuna ugomvi mkuu, nikukumbushana tu kwamba mwaka ule tuliwafunga na ubingwa tukachukua. Hebu rudi tena kamsikilize jinsi mtangazaji wa TBC1 alivyokuwa anasherehesha.
 
ukishabikia YANGA hakika hata siku zako Za kuishi hapa duniani zitakuwa nyingi...tulianza na Mungu na tutamaliza na Mungu,,,DAIMA mbele nyuma mikia

# team mikia mpoooooooo?
 
ukishabikia YANGA hakika hata siku zako Za kuishi hapa duniani zitakuwa nyingi...tulianza na Mungu na tutamaliza na Mungu,,,DAIMA mbele nyuma mikia

# team mikia mpoooooooo?

Mikia FC ni homa ya vipindi, no continuity, consistency and uniformity!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…