Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 19,697
- 15,497
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha kumbe bado upo mkuu? Wenzio wamekimbia!
Hii combination ya Msuva na Tambwe itatisha sana, tuombee wasiondoke
msimu ujao wote hao wanakuja yanga.
Sio siku zote, msijisahaulishe mnachofanywa mkikutana na mnyama
Mgambo walidhani wanakutana na mama ntilie wa pale mitaa ya msimbazi, kumbe!!! wakakutana na Machinga kiburi akawanyosha vilivyo.Mgambo kakutana na mmachinga aliyepitia depo kazi anayo
msimu ujao wote hao wanakuja yanga.
Ata Simba mara mojamoja ni raha kama hivi.
http://shaffihdauda.co.tz/okwi-aibeba-simba-taifa-aifunga-yanga-1-0/
Ata Simba mara mojamoja ni raha kama hivi.
Okwi aibeba Simba Taifa, Aifunga Yanga 1-0 | Shaffih Dauda
Leo ni kindumbwe ndumbwe uwanja wa Mkwakwani mechi kati ya Mgambo FC ( kiboko ya vigogo) watawakabili wawakilishi pekee wa Tanzania katika mashindano ya kimataifa Dar es salaam Yanga African mnamo saa 10 kamili jioni kwa saa za Afrika Mashariki.
Tukumbuke Timu zote zilifanikiwa kupata matokeo katika mechi zao zilizopita Yanga wakiwasambaratisha wakata miwa wa Kagera Sugar na Mgambo akiivulumusha bila huruma Simba S.C wazee wa homa za vipindi.
Sijaelewa hapo!
Huyo hapo akiwa mkwakwani leo akiishuhudia timu yake dhidi ya mgambo.Mkuu Vipi Ngasa hachezi leo au ana kadi 3 za njano au anaumwa?
HahahaaaMgambo walidhani wanakutana na mama ntilie wa pale mitaa ya msimbazi, kumbe!!! wakakutana na Machinga kiburi akawanyosha vilivyo.