Live updates, Ligi Kuu Vodacom: Mgambo vs Yanga

Live updates, Ligi Kuu Vodacom: Mgambo vs Yanga

Na mpiraaaaaaa umekwishaaaa
Yanga wanaondoka na points 3 hapa.Teh teh teh
Cc Zamaulid
 
Last edited by a moderator:
Hivi mwehu gani pale msimbazi alipendekeza tambwe aachwe kudadadadeki.....!
 
huwa najiuliza kwa nini viongozi wangu waliamua kumuacha amissi tambwe?
 
Hivi mwehu gani pale msimbazi alipendekeza tambwe aachwe kudadadadeki.....!

kama ulikuwa kwenye mawazo yangu mkuu,nami swali hilo hilo nimeuliza kwa wakati mmoja na wewe ktk hii sredi.
 
Hahahaaa, Katavi hapa tunapishana lakini muda si mrefu tunaungana kule the Gunners...teh teh
Vumilia tu hii ndio Yanga bwana.
 
Last edited by a moderator:
huwa najiuliza kwa nini viongozi wangu waliamua kumuacha amissi tambwe?

Ni tatizo viongozi kuingilia maamuzi ya kitaalam. Simba walichemka sana kumuacha huyu jamaa.
 
Back
Top Bottom