Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wataachia tu
Mimi nawaombea ndala msiba mwanzo nwisho.......naamini muumba atasikia dua zangu.......AMEN
Mgambo wanakosa goli hapa, yanga wanapumulia mashine hapa uwanjani.
Hii mechi tunawapiga mgambo goli moja tu...mtu akibisha aweke dau
Hakuna goli hapa mana Uwanja hauitaji ufundi bali bahati tu hivyo yoyote anaweza kufungwa
Hahaaaaa...
Unaripoti kinazi sana Mkombe....
Sijaona ukiripoti mipira ya Yanga iliyogonga mwamba/besela..Mmoja wa Tambwe mwingine wa Msuva...
Kweli adui muombee njaa....