Live updates, Ligi Kuu Vodacom: Mgambo vs Yanga

Live updates, Ligi Kuu Vodacom: Mgambo vs Yanga

Mgambo wanakosa goli hapa, yanga wanapumulia mashine hapa uwanjani.
 
Mimi nawaombea ndala msiba mwanzo nwisho.......naamini muumba atasikia dua zangu.......AMEN
 
Ingekuwa mikia mpaka wkt huu washatia aibuuuuuuuuuuuuuu
 
Goooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo.......................
 
Mgambo wanakosa goli hapa, yanga wanapumulia mashine hapa uwanjani.

Hahaaaaa...

Unaripoti kinazi sana Mkombe....

Sijaona ukiripoti mipira ya Yanga iliyogonga mwamba/besela..Mmoja wa Tambwe mwingine wa Msuva...

Kweli adui muombee njaa....
 
Hahaaaaa...

Unaripoti kinazi sana Mkombe....

Sijaona ukiripoti mipira ya Yanga iliyogonga mwamba/besela..Mmoja wa Tambwe mwingine wa Msuva...

Kweli adui muombee njaa....

Ha ha ha haaah,,,,,nilikuwa nachangamsha jukwaa kidogo
 
Msuva anaipatia yanga dakika ya 79: Sherman nje anaingia Hussein Javu
 
Back
Top Bottom