Live updates, Ligi Kuu Vodacom: Mgambo vs Yanga

Yanga akishinda leo basi ubingwa ni haki yake mwaka huu!
Maana kuna taarifa kwamba azam kainunua mechi hii ili mgambo ashinde!!!
Azam ndio kagharamia kambi ya mgambo na posho tangu mechi yetu(simba)na hii ya yanga leo!!!
 
Hebu lete kisibitisho kwa ulicho kisema.

Mpira waTanzania ndio maana haiendelei kwa imani hzi.
 
Wekeni updates wakuu.....
yanga haijafanya yake tu?
 
Huu uwanja ni balaa, yanga hawaponi.
 
Yanga wamekamata kiungo yote aise na difensi yao ni nzr tu!!!
 
Hakika yanga atabeba point zote uko tanga km ilivotokea mbeya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…