Live Updates:Mbeya City vs Prison

Live Updates:Mbeya City vs Prison

Mmmh hao mashabiki wa mbeya city, vipi hali yao sasa, nnachowaomba waendelee kukubali matokeo, ,,

Mbeya City imeshapoteza mashabiki wengi tu. Msimu mmoja tu wakaonesha soka la ushindani lakini msimu huu tu unawashusha daraja
 
mbeya city wanasawazisha holi...goaaaaaaalll
 
kumekucha uwanja wa sokoine,Mbeya city 1 Prison 1...shangwe zinarindima ndani ya sokoine....Saitoti upoo
 
mchezaji wa mcc anafanyiwa madhambi njee kidogo tu ya kumi na nane ya lango Prison.
 
Prisom wnashambuliwa sana sasa hivi.mpira ni mapumziko
 
Mbeya City 1 Tanzania Prison 1,mpira ni mapumziko
 
kumekucha uwanja wa sokoine,Mbeya city 1 Prison 1...shangwe zinarindima ndani ya sokoine....Saitoti upoo

Nilijua tu hapo pangekuwa pagumu sana kaka. ?kuna shabiki wa mbeya city huwa anavaa samaki shingoni ni hatari sana huyo! !!! Na matokeo ya hapo yatakuwa kama simba na yanga. Waswahili wanasema mechi ishachezwa.
 
Paul Nongaaaaaa........... anawasawashia Mbeya city
 
Mbeya city 2 Prison 1,kona inapigwa langoni mwa Mcc
 
mpira umekwisha,matokeo ni MCC 2 Prison 2
 
Back
Top Bottom