Live Updates: Mechi za Funga dimba VPL,Yanga kuhangaikia nafasi ya pili

Mtibwa inashuka daraja kimasihara sana
Ipo nafasi ya 3 toka mwisho mpaka sasa.Imepigwa 1 na Masao Bwire. Ruvu kuweni na huruma

Mkeka wa kushuka daraja na playoff umekaa vibaya sana
 
Kuna vitu vitatu huvipendi 1. Yanga; 2. CCM; na 3. JPM ingawa ni mshabiki wa simba kama wewe
Definitely. sivipendi vyote ulivyotaja. Yanga sina sababu ila JPM na CCM yake nina sababu
 
Ndanda wanaaga ligi kuu..washapigwa mbili..dk 81
 
Hili lithread laajabu sana, hamna hata updates !!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…