Live Updates: Mechi za Funga dimba VPL,Yanga kuhangaikia nafasi ya pili

Live Updates: Mechi za Funga dimba VPL,Yanga kuhangaikia nafasi ya pili

Mtibwa inashuka daraja kimasihara sana
Ipo nafasi ya 3 toka mwisho mpaka sasa.Imepigwa 1 na Masao Bwire. Ruvu kuweni na huruma

Mkeka wa kushuka daraja na playoff umekaa vibaya sana
 
109448034_1754745191358381_821783093360750458_n.png
 
Ndanda wanaaga ligi kuu..washapigwa mbili..dk 81
 
Hili lithread laajabu sana, hamna hata updates !!!!
 
Back
Top Bottom