Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
Kocha atoe Msuva aingize Mwashiuya..Kaseke aende wingi ya kuliaNashindwa kuelewa why hatuchomoi wakati tumeshawakamata.
Kamtoa Kaseke banaYes Mwashiuya in Kaseke out!!!!
Sasa tunaenda kuchomoa.
Kweli Yanga hamna striker goli la wazi kabisa !
Kweli Yanga hamna striker goli la wazi kabisa !