Live Updates: MO Bejaia FC vs Yanga SC at Unite Maghrebine Stadium!

Wakija taifa hawa maboya ni bora game ipigwe saa8 mchana.
Itawasaidia wao maana kule joto kali kuliko hapa
 
Nimeona gazeti moja lina kichwa cha habari "Yanga kampa kampa tena Mwarabu"
 
Leo mji umetulia sana. Kunani?

Nasikia kuna mtu anasema Mwarabu na Yanga ni sawa na mme na mke.... kwani kimetokea nini mkuu??
ukiolewa shariti ulale uchi yanga kaolewa hataki kulala uchi hiyo inawezekana wapi...kapigwa kimoja subiri TP mazembr
 
Waendelee kukaa ulaya tena halafu wakirudi wapigwe tena
 
Pia watani zangu wawe makini hizi ni mechi za makundi kwa maana kinachoangaliwa ni point na sio wingi wa magoli......kwa matokeo hayo waliyopata huko uarabuni hawana budi kushinda mechi ijayo dhidi ya TP MAZEMBE hapa nyumbani....na yote inawezekana kama watautaka ushindi kwa kujituma na kutumia nafasi chache zitakazo patikana ndio msingi wa ushindi....
Nina amini kama watani zangu watajianda vizuri kwa ajili ya mchezo ujao hapa nyumban wanaweza wakashinda bao nyingi na kujihakikishia kuendelea kuwepo mashindanoni......

Lazima watanzania tuipe sapoti Yanga kwani yeye ndio muakilishi pekee wa taifa letu huko kimataifa....analitangaza jina la Tanzania.....hata mtangazaji utamsikia Yanga from Tanzania hawezi kusema from Jangwani.....kwa maana waliopo ni zaidi ya wana Jangwani......

NB;
UZALENDO KWANZA....kuichukia Yanga na kuiombea mabaya Yanga hakutusaidii chochote sisi wanamsimbazi zaidi ya kudharaulika mbele ya wageni na kuupoteza muda ambao pengine tungeutumia kuangalia madhaifu ya timu na kuyafanyia kazi ili kufanya vizuri kwenye ligi na mashindano mbali mbali msimu ujao.....
 
Uzalendo aliondoka nao Mwl. Nyerere wengine wasanii tu...
 
Bora wamefungwa ,,hakuna na kambi ya uturuk wala ugiriki,,na bado TP MAZEMBE wanakuja kujichukulia point,,hahhhha eti ndo wakimataifa yaan mnachoambuliaga sanasana kupanda ndege tuu na kushiriki mashindano na co kushindana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…