OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
na mimi nipo hapa nachukua majinaItabidi wapewe kazi ya kushangilia wageni..TP Mazembe wameahidi kuwalipia nauli Simba
Mzee umechelewa kunipa matokeo.Pole uliye ajiriwa
ila nyie mlivochezea 'libolo' ndo huwa mnashindanaBora wamefungwa ,,hakuna na kambi ya uturuk wala ugiriki,,na bado TP MAZEMBE wanakuja kujichukulia point,,hahhhha eti ndo wakimataifa yaan mnachoambuliaga sanasana kupanda ndege tuu na kushiriki mashindano na co kushindana...
baelezeage...................ila nyie mlivochezea 'libolo' ndo huwa mnashindana
... na #Hapa Mchangani tuHapa kufungwa tuu!!