Live Updates: MO Bejaia FC vs Yanga SC at Unite Maghrebine Stadium!

Mechi itaanza saa sita usiku na kumalizika saa 8 usiku kwa saa za Africa Mashariki. Majobless mtatupatia matokeo ambayo ni ya huzuni kwa majirani zetu.
 
Halotel Leo msiniangushe. Hivi 1GB inatosha kweli kustream mechi yote?itikadi pembeni kwanza, Kila la heri Yanga.
 
Mechi itaanza saa sita usiku na kumalizika saa 8 usiku kwa saa za Africa Mashariki. Majobless mtatupatia matokeo ambayo ni ya huzuni kwa majirani zetu.
Usingizi wako wa pono umepelekea umekua kilaz.a, watu tutakuwa live streaming na kesho mapema tupo job bila hangover la usingizi.... Hebu punguza kitambi hicho uone mwenyewe yeboyebo anavyosiginwa
 
Najua yanga mtarudi kichwa chini tu kama mmeanza kuleta ushabiki kwenye mechi hii ya kimataifa
 
Kwetu droo ugenini ni ushindi, kazi yao wakija Taifa muwashangilie nyie mikia
 
hivi hizi tv za nyumbani hatunaga uzalendo na timu zetu???

Ukienda kwa jirani zetu pindi timu zao iwe vilabu au timu ya taifa inawakilisha nchi kwenye mashindano ya kimataifa.

Basi tv zao uonyesha uzalendo kwa kuonyesha mechi hizo.

Sasa hapa kwetu sijui magufuli arudushe uzalendo hata ikibidi watu wapigwe bakora.
 
uzalendo upi unaosema wewe kama bunge tu wanasumbuana mpaka leo..wewe subiri livestream utazame ukiona zimefika sita unaweza kuzima pc kujiongopea mwenyewe kwamba luku inaisha
 
dah yanga kapewa point nyingi leo kwa muhindi natamani nimchinje sema ndo hivo wa nyumbani bado naimani anaweza hata kutoa draw,sema kwa upande mwingine simpendi kwa kuwa mimi simba natamani apigwe tu yaani
 
Back
Top Bottom