kilimbamula
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 1,792
- 853
Yanga akifungwa ndio nakamilisha uzalendo, afungwe tu hakuna namnaduuh hivi bado wapo watanzania wenye roho mbaya wasioitakia mema yanga dhidi ya waarabu leo?
Mechi 1 ya full HD inatumia kiasi cha mb 300 tuHalotel Leo msiniangushe. Hivi 1GB inatosha kweli kustream mechi yote?itikadi pembeni kwanza, Kila la heri Yanga.
Usingizi wako wa pono umepelekea umekua kilaz.a, watu tutakuwa live streaming na kesho mapema tupo job bila hangover la usingizi.... Hebu punguza kitambi hicho uone mwenyewe yeboyebo anavyosiginwaMechi itaanza saa sita usiku na kumalizika saa 8 usiku kwa saa za Africa Mashariki. Majobless mtatupatia matokeo ambayo ni ya huzuni kwa majirani zetu.
1GB ni nyingi sana. Mimi niliangalia mechi ya italy vs Belgium mwanzo mwisho kwa mb 200 tu kwa laini hiyo hiyo ya haloteliHalotel Leo msiniangushe. Hivi 1GB inatosha kweli kustream mechi yote?itikadi pembeni kwanza, Kila la heri Yanga.
Mo Bejaia pigeni hao Yanga goli 2-0 tu
Nyie vyura bure kabisaKila la heri Mobejaia.
Pole uliye ajiriwaMechi itaanza saa sita usiku na kumalizika saa 8 usiku kwa saa za Africa Mashariki. Majobless mtatupatia matokeo ambayo ni ya huzuni kwa majirani zetu.
Kwetu droo ugenini ni ushindi, kazi yao wakija Taifa muwashangilie nyie mikiaNajua yanga mtarudi kichwa chini tu kama mmeanza kuleta ushabiki kwenye mechi hii ya kimataifa
hivi hizi tv za nyumbani hatunaga uzalendo na timu zetu???Televisheni za hapa ni pasua kichwa:
Link hii hapa:
مشاهدة مباراة مولودية بجاية ويانغ أفريكانز اليوم 19-6-2016 كأس الإتحاد الأفريقي
Kwetu droo ugenini ni ushindi, kazi yao wakija Taifa muwashangilie nyie mikia
hivi hizi tv za nyumbani hatunaga uzalendo na timu zetu???
Ukienda kwa jirani zetu pindi timu zao iwe vilabu au timu ya taifa inawakilisha nchi kwenye mashindano ya kimataifa.
Basi tv zao uonyesha uzalendo kwa kuonyesha mechi hizo.
Sasa hapa kwetu sijui magufuli arudushe uzalendo hata ikibidi watu wapigwe bakora.
Asante kwa elimu, nitaunga kile cha ucku1GB ni nyingi sana. Mimi niliangalia mechi ya italy vs Belgium mwanzo mwisho kwa mb 200 tu kwa laini hiyo hiyo ya haloteli