OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Azam
Simba 1,Okw akipokea pande la BokoMkuu tupe update vipi huko taifa
Tulia kaka,game imebalanceSimba imepwaya sana Leo
..
Bado Yanga,manina zao.Okwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
Kweli hao vyura lazima wakatwe vidole...Bado Yanga,manina zao.
Mechi mnacheza na Mtibwa, Yanga katokea wapi hapo?Mtibwa wanajitahidi,sio kama Yanga